UKURASA WA 1203; Jua Vitu Hivi Vitatu Muhimu Kwa Mafanikio Yako…

By | April 17, 2018
Kwa kuwa kwenye mazingira ya aina moja, kuna watu waliofanikiwa na walioshindwa, kinachowatofautisha watu hao hakiwezi kuwa mazingira, bali kile ambacho kipo ndani ya watu hao. Na katika vitu ambavyo vipo ndani ya watu, kimoja muhimu ni kile ambacho wanajua. Kuna vitu ambavyo waliofanikiwa wanajua lakini wale ambao hawajafanikiwa hawavijui.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In