UKURASA WA 1283; Kumbuka Siku Ya Kwanza Na Ishi Siku Hiyo Kila Siku…

By | July 6, 2018
Chochote unachofanya kwenye maisha yako, hebu jikumbushe siku ya kwanza kabisa kufanya ilikuwaje? Kazi yako, kumbuka siku ya kwanza kabisa ulipoanza kazi, ulikuwa na hamasa kiasi gani, uliwahi kiasi gani na ulikuwa na utayari kiasi gani wa kufanya kila unachoambiwa kufanya? Kwa hakika hamasa ulikuwa juu, uliwahi sana na ulikuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz