UKURASA WA 1284; Kabla Hujaanza Kufikiria Makubwa, Hebu Anzia Hapa…

By | July 7, 2018
Watu huwa tunafikiria makubwa, tuna ndoto kubwa sana kwenye maisha yetu, ndoto za kuibadili dunia na kuifanya kuwa sehemu bora kabisa ya kuishi. Lakini pamoja na ndoto kubwa sana tunazokuwa nazo, kuna mambo madogo mno yanakuwa yanatushinda. Kuna vitu vidogo kama kudhibiti hasira zako mwenyewe. Wengi huwa hatufikirii vitu kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In