UKURASA WA 1294; Kitu Pekee Utakachojutia Sana Kwenye Maisha Yako…

By | July 17, 2018
Ni kutokuishi kwa kiwango cha uwezo mkubwa uliopo ndani yako. Hichi ni kitu ambacho utakijutia sana, na hutajisamehe kwa kosa hilo. Ukiwa bado mdogo, bado kijana, bado mtu mzima unaweza kujidanganya kwamba muda bado unao. Ni pale unapokuwa mzee, pale unapokuwa huna tena muda mrefu wala nguvu za kupambana, ndiyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz