BIASHARA LEO; Bishara Unayofanya Leo, Siyo Biashara Utakayofanya Kesho…

By | September 26, 2018
Unapaswa kuifanya biashara yako vizuri sana leo, Na wakati huo huo kujiandaa na mabadiliko yanayoendelea kutokea kwenye biashara yako. Kwa sababu biashara unayofanya leo, siyo biashara utakayofanya kesho, mwaka ujao, miaka 5 ijayo na hata miaka 10 ijayo. Mambo yanabadilika, watu wanabadilika na mahitaji yao yanabadilika pia. Watu wanataka vitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz