MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1393; Kitu Kimoja Pekee Ambacho Watu Wote Waliofanikiwa Wanacho…
Siri za mafanikio na tabia za mafanikio ni maeneo ambayo yanashamiri sana zama hizi kwenye uandishi na mafunzo mbalimbali. Kwa kuwa mafanikio yana kanuni zake, fikra zetu ni kwamba kama tutafanya kile ambacho watu waliofanikiwa wamefanya, basi na sisi pia tutafanikiwa. Na hili limewafanya wengi kutafuta siri zaidi, kutaka kujua