1599; Kutingwa Kusiko Na Manufaa…

By | May 18, 2019
Siku hizi kila mtu ametingwa, kila mtu yuko bize, kila mtu ana mambo mengi ya kufanya lakini muda alionao ni mchache. Lakini swali muhimu sana unalopaswa kujiuliza kabla hujafurahia ubize wako ni je umetingwa kwa mambo yenye manufaa au kwa mambo yasiyo na manufaa. Kwa sababu kwa walio wengi, wametingwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In