1689; Neno Moja Linalokuelezea Wewe…

By | August 16, 2019
Kazi ya kwanza uliyonayo kwenye maisha yako ni kujiuza wewe mwenyewe. Simaanishi kujiuza kama ilivyozoeleka kwa wale wanaotumia miili yao kibiashara. Bali namaanisha kujiuza kwa kuwashawishi wengine kukubaliana na wewe, kukupokea wewe na kushirikiana na wewe kwenye kile unachotaka kushirikiana nao. Kama unatafuta kazi ya kuajiriwa lazima uweze kujiuza kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In