1702; Watu Wasiosaidika…

By | August 29, 2019
Unaweza kuwa unakazana sana kuwasaidia watu, lakini huoni matokeo mazuri. Hilo linaweza kukushangaza usielewe kwa nini mtu apinge msaada ambao unampa kwa kujitoa zaidi wewe. Unachopaswa kujua ni kwamba kuna watu ambao hawasaidiki, hata ufanye nini. Hivyo ni muhimu kuwajua mapema kabla hujapoteza muda, nguvu na hata fedha zako kuwasaidia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In