1704; Bure Haina Thamani, Sawa Na Rahisi…

By | August 31, 2019
Nimewahi kukueleza thamani ya ushauri wa bure, ambao watu wamekuwa wanakupa au unajitolea kuwapa watu wengine. Kwamba thamani ya ushauri huo ni sifuri na utakugharimu sana pale ambapo utaanza kuufanyia kazi. Leo nakwenda kukupa upande wa pili wa vitu vya bure au rahisi. Upande huo ni kwenye biashara yako. Wafanyabiashara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In