1706; Kuwa Maji…

By | September 2, 2019
Maji ndiyo kitu huru kuliko vyote hapa duniani. Hii ni kwa sababu hakuna chochote kinachoweza kuyazuia maji. Yakiwekwa kwenye kikombe yanaingia, yakiwekwa kwenye chupa yanaingia. Yanaweza kuwa yabisi, yakawa kimiminika na yakawa mvuke kulingana na mazingira yanavyotaka. Yanaweza kuchukua umbo na nafasi yoyote inayopatikana. Yanaweza kuvunja miamba mikubwa sana hata

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In