1725; Ielewe Vizuri Hapana Na Kuitumia Vizuri…

By | September 21, 2019
Kama kuna neno moja lenye nguvu sana, neno linaloweza kukupa uhuru mkubwa na udhibiti wa muda wako basi ni neno HAPANA. Lakini pia ni neno ambalo watu wengi huwa wanaogopa kulitumia, kwa sababu hatupendi kuwaangusha wengine, na hivyo tunajikuta tukisema NDIYO kwa baadhi ya vitu, ili tu kuwaridhisha wale wanaotaka,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In