1726; Kwa Nini Isiwe Wewe Na Kwa Nini Isiwe Leo?

By | September 22, 2019
Sisi wenyewe ni mafundi wazuri wa kujiondoa kwenye nafasi ya kuweza kupiga hatua kubwa kwenye maisha yetu. Yaani kama hufanikiwi, kikwazo cha kwanza ni wewe mwenyewe, kabla ya kuja hivyo vikwazo vingine ambavyo ni rahisi kwako kuvilaumu. Kwanza huwa tunaanza kuishusha na kuona hatuwezi au hatustahili. Tunaona kwa mazingira yanayotuzunguka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In