1729; Matokeo Ya Kazi Ni Kiashiria Cha Ndani…

By | September 25, 2019
Mtu mmoja amewahi kuniambia maneno mabaya, siku inayofuata akaniomba msamaha kwa maneno hayo mabaya aliyoniambia, akisema siyo yeye bali pombe ndiyo zilimfanya atoke maneno hayo. Nilimsamehe lakini nikamwambia kitu kimoja, pombe haiongezi maneno kwenye akili yako, bali inaondoa ile aibu ya wewe kuyatamka, hivyo fikra hizi zilikuwepo, lakini bila ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In