1761; Kabla Hujafikiria Kuibadili Dunia…

By | October 27, 2019
‘Nataka kuibadili dunia…’ Ni kauli maarufu kwa wengi, huwa tunajiwekea lengo kubwa kiasi hicho kupitia chochote tunachofanya, na kufikiria tunaweza kuwa na mchango mkubwa hapa duniani kama tutaweza kuibadili. Lakini hilo ni lengo ambalo siyo tu hatuwezi kulifikia, bali pia tunajidanganya, kwa sababu ni kitu ambacho kipo nje ya uwezo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In