1763; Hakuna Kizuri Kinachodumu Milele…

By | October 29, 2019
Kuna kitabu kimoja kifupi na kizuri sana ambacho kinaelezea tabia yetu sisi binadamu kuyapinga mafanikio. Kitabu hicho kinaitwa WHO MOVED MY CHEESE, ambacho kinaeleza hadithi ya panya wanne ambao walizoea kupata jibini kwenye eneo walilozoea, siku moja wakaenda eneo hilo na kukuta hakuna tena jibini. Kuna ambao walisonga mbele na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In