1765; Wazo Lako Linahitaji Muda…

By | October 31, 2019
Wazo bora ni kama mvinyo, kadiri muda unavyokwenda, ndivyo mvinyo unavyokomaa na kuwa bora zaidi. Wazo bora pia ni kama uwekezaji, kadiri muda unavyokwenda ndivyo uwekezaji unakua thamani. Usitegemee kupata wazo siku moja, kuchukua hatua halafu kupata matokeo makubwa unayotarajia. Mafanikio huwa hayaendi hivyo. Unapata wazo ambalo unaamini ni bora

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In