1768; Ni Kitu Gani Wanajua Ambacho Wewe Hujui?

By | November 3, 2019
Tunapoona watu wengine wanapiga hatua kubwa kuliko sisi, huwa tunakimbilia kujiambia kwamba watu hao wana bahati au wamekutana na upendeleo fulani ambao sisi hatujakutana nao. Haya ni majibu ya kujifariji, pale ambapo wengine wanapiga hatua na sisi hatupigi. Wakati mwingine tunakuwa watu wa kwanza kukosoa hatua wanazopiga wengine, japo ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In