1788; Kwa Nini Mafanikio Ni Mwalimu Mbaya…

By | November 23, 2019
Kwenye safari ya mafanikio, hakuna mwalimu mbaya kujifunza kwake kama mafanikio yako ya nyuma, na hata ya wengine. Ni bora kujifunza kutoka kwenye kushindwa kwako au kwa wengine, utapata mafunzo mazuri kuliko kujifunza kutoka kwenye mafanikio. Mafanikio ni mwalimu mbaya kwa sababu ni vigumu sana kujua chanzo halisi cha mafanikio.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In