1823; Kabla Haijawa Rahisi…

By | December 28, 2019
Kabla haijawa rahisi huwa ni ngumu. Sasa hivi unaweza kutembea bila ya tatizo lolote, ni rahisi kwako, lakini ulipokuwa mtoto na unajifunza kutembea, kutembea hakukuwa rahisi kwako. Sasa hivi ni rahisi kwako kuongea na watu kupitia lugha unayotumia, lakini wakati unajifunza haikuwa rahisi kwako. Hivyo ndivyo ilivyo kwenye kazi, biashara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz