1870; Vita Isiyo Na Mwisho…

By | February 13, 2020
Ni vita ya kujitambua, kila wakati unafanya makosa fulani yanayotokana na kutokujitambua vizuri. Hivyo ukijiambia kwamba umeshajitambua, maana yake ni umekubali kushindwa vita hiyo. Unaweza kuona unafanya kitu sahihi, lakini kikawa siyo sahihi. Hii ni kwa sababu sisi binadamu tuna madhaifu makubwa mawili; Udhaifu wa kwanza ni ufahari au majivuno.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In