1872; Hauna Udhibiti Unaofikiri Unao…

By | February 15, 2020
Tunaathiriwa na kushawishiwa zaidi na mazingira kuliko tunavyoweza kuamini na kukubali. Huwa tunafikiri maamuzi mengi tunayofanya ni kwa kufikiri sisi wenyewe, lakini siyo kweli, kwa sehemu kubwa tunafuata ushawishi wa mazingira na wale wanaotuzunguka. Tafiti zinaonesha kwamba kadiri bidhaa au huduma inavyokuwa karibu na sisi au tunavyoiona mara kwa mara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In