#TAFAKARI YA ASUBUHI; SWALI SIYO UNAFANYA NINI, BALI UNAFANYAJE…

By | March 2, 2020
“The question is not what you look at—but how you look & whether you see.” — Henry David Thoreau Thoreau anatuambia swali siyo unaangalia nini, bali unaangaliaje na kama unaona unachoangalia. Tunaweza kujiuliza hivi kwenye kazi pia. Kwamba swali siyo unafanya kazi gani, bali unaifanyaje na kama unatoa thamani kubwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz