1899; Kitu Muhimu Kuwa Kitu Muhimu…

By | March 13, 2020
Ili uweze kufanikiwa, kitu muhimu kwako ni kufanya kitu muhimu kuwa kitu muhimu. Ni rahisi sana kujidanganya kwenye umuhimu, pale unapokuwa na kitu unataka kufanya, unajiaminisha ni muhimu. Mfano, ukiwa na fedha na ukakutana na nguo inayouzwa na ukaipenda, utajiambia ni muhimu kwako kuinunua, na utajipa sababu nyingi, kwamba hujanunua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In