#TAFAKARI YA ASUBUHI; SEHEMU PEKEE YA KUONESHA KAZI YAKO…

By | March 21, 2020
This world, only this world, is the place of our work, and all our forces, all our efforts, should be directed toward this life. – Leo Tolstoy Kwenye hii dunia ndiyo sehemu pekee unayoweza kuonesha kazi yako, Hivyo peleka nguvu zako zote kwenye kila unachofanya. Hutapata nafasi nyingine ya kufanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz