1908; Siku 100 Za Kwanza…

By | March 22, 2020
Mabadiliko yoyote makubwa unayofanya kwenye maisha yako, siku 100 za kwanza huwa ni siku ngumu sana kwenye mabadiliko hayo. Maisha yatakuwa magumu sana kwenye siku hizo 100 za kwanza, utashawishika sana kurudi kwenye kile ulichozoea, utaona hakuna manufaa kwenye mabadiliko hayo. Na hapo ndipo wanaofanikiwa na wanaoshindwa wanapotengana. Wanaofanikiwa wanaendelea

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In