1920; Kinacholipa Ni Msimamo…

By | April 3, 2020
Ipo kauli kwamba safari ya maili elfu inaanza na hatua moja. Siyo kwamba ukishapiga hatua moja safari imemalizika, bali msimamo wako kwenye kupiga hatua moja kila wakati ndiyo utakaokamilisha safari hiyo. Hakuna asiyeweza kupiga hatua moja, lakini mbona ni wachache wanaofika mwisho wa safari? Kinachowatofautisha wengi wanaopiga hatua moja na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In