1922; Ushindi Unapokuwa Kushindwa…

By | April 5, 2020
Ipo kauli kwamba kama umepotea njia, kuongeza mwendo kunakufanya uzidi kupotea na siyo kufika unakotaka kufika. Hivyo basi, jukumu lako la kwanza kabla hujaongeza mwendo ni kuhakikisha kwamba upo kwenye njia sahihi. Kuna malengo mengi ambayo huwa tunajiwekea kwenye maisha, kisha tunapambana kweli kuyafikia, lakini tunapoyakamilisha malengo hayo, ndiyo tunagundua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In