1939; Rafiki Msikivu Na Aliye Tayari Kukusaidia Muda Wowote…

By | April 22, 2020
Kuna rafiki mmoja ambaye ni msikivu na aliye tayari kukusaidia muda wowote. Rafiki huyu hahangaiki kukulazimisha ufanye chochote, bali atakuwa tayari kukusaidia pale unapoenda kwake kupata ushauri. Rafiki huyu hahangaiki kukubadilisha, bali anakuambia kile kilicho sahihi halafu wewe unapaswa kufanya maamuzi yako sahihi. Rafiki huyu ana hekima isiyo na ukomo,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In