1960; Hakikisha Upo Ulingoni…

By | May 13, 2020
Kwenye mchezo wowote ule, jukumu la kwanza la mchezaji ni kuwa ulingoni, kuwa uwanjani, mengine baada ya hapo ni juhudi. Ni bora kuwa ulingoni na kupigwa, kuliko kuwa nje ya ulingo kabisa. Timu ambayo ipo kwenye ligi kuu, hata kama inafungwa na kila timu, ipo kwenye nafasi nzuri kuliko timu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In