1980; Anza Wakati Hamasa Bado Iko Juu…

By | June 2, 2020
Wahunzi huwa wanaunda vitu kwa chuma wakati chuma ni cha moto, ukisubiri chuma kipoe huwezi kuunda kile unachotaka. Kadhalika ndiyo maisha yetu yalivyo, kuna wakati ambapo huwa tunapata hamasa kubwa sana, lakini tusipoitumia, huwa tunaipoteza. Hivyo unapopata hamasa ya juu, hakikisha kuna hatua unachukua wakati hamasa hiyo iko juu, hatua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In