1982; Maadili, Uwezo, Ujuzi…

By | June 4, 2020
Unapotafuta watu wa kushirikiana nao kwenye shughuli unazofanya, iwe ni watu wa kuajiri au kuingia nao ubia kwenye biashara, tumia vigezo hivi vitatu; maadili, uwezo na ujuzi. Vigezo hivi ndiyo vitakusaidia kupata watu bora na sahihi ambao unaweza kwenda nao kwa muda mrefu na kila mmoja wenu akanufaika. Lakini kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz