1987; Kuwa Sumaku…

By | June 9, 2020
Sumaku ni chuma ambayo imepitia mabadiliko yanayoifanya iweze kuvuta chuma nyingine zinazofanana nayo. Weka plastiki karibu na sumaku na haiwezi kuvuta plastiki hiyo. Lakini weka chuma na mara moja itavutwa. Kuna somo kubwa hapa la kujifunza kuhusu maisha na mafanikio. Kwanza kabisa unahitaji kuwa mtu ambaye anayavutia mafanikio kuja kwako.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In