2004; Dakika Kumi Zinaweza Kufanya Nini?

By | June 26, 2020
Kitu kimoja ninachokiamini, na nitaendelea kuamini hivyo maisha yangu yote ni kwamba wale wanaosema hawana muda wa kufanya vitu fulani wanavyotaka kufanya huwa wanadanganya. Siyo kweli kwamba hawana muda, ila tu hawataki kufanya, sasa kwa kuwa hawataki kuukabili ukweli, wanatumia kisingizio cha muda. Kwenye siku kuna masaa 24 ambayo ukiyageuza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In