2073; Sharti Na Chaguo…

By | September 3, 2020
Kama kuna kitu ambacho ni sharti ukifanye, basi huna uhuru wa kuchagua, unapaswa kufanya. Kuigiza kama vile una uhuru wa kuchagua ni kujidanganya na kujitengenezea msongo zaidi. Kama una uhuru wa kuchagua kile unachofanya basi hilo siyo sharti, unachagua nini ufanye. Kuigiza kama vile ni sharti kufanya ni kujinyima uhuru

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In