#TAFAKARI YA LEO; UKWELI UNAKUPA UVUMILIVU…

By | September 3, 2020
“The closer people are to the truth, the more tolerant they are of the mistakes of others.” – Leo Tolstoy Kadiri unavyoukaribia ukweli, ndivyo unavyokuwa mvumilivu kwenye makosa ya wengine. Unazidi kuwa mkali kwako mwenyewe, huku ukiwavumilia wengine kwa makosa wanayofanya. Ukweli unakupa nafasi ya kujua jinsi wengi walivyo gizani,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In