2170; Unacholalamikia, Unakistahili…

By | December 9, 2020
  Kitu chochote unachokilalamikia au kulaumu kwenye maisha yako, unakistahili kabisa. Na kadiri utakavyoendelea na malalamiko na lawama zako, utaendelea kuwa na kitu hicho. Hakuna namna mambo yataenda kama unavyopanga wewe, hivyo kulalamikia watu au hali fulani kuwa kikwazo kwako ni utoto. Na kama hujui hilo, basi unastahili kabisa kile

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In