#TAFAKARI YA LEO; KIPIMO NI WINGI WA WANAOFANYA…

By | April 11, 2021
Kipimo rahisi kabisa unachoweza kutumia kuamua kitu gani ufanye ni kuangalia wingi wa wale wanaokifanya kitu hicho. Ukiona kitu kinafanywa na watu wengi, jua hicho siyo sahihi kwako kufanya. Kwa sababu watu wengi wanapenda kufanya vitu rahisi na vilivyo rahisi huwa havina thamani kubwa. Wewe unapaswa kufanya vitu vyenye thamani

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In