2339; Mlango Wa Sita Wa Hisia…

By | May 27, 2021
2339; Mlango Wa Sita Wa Hisia… Tumeizoea milango mitano ya fahamu. Macho yanayoona. Masikio yanayosikia. Pua inayonusa. Ulimi unaoonja. Ngozi inayohisi. Milango hiyo mitano ndiyo tunayotumia kuwasiliana na dunia ya nje. Upo mlango wa sita wa fahamu ambao wengi hawaujui. Mlango huo siyo wa kuwasiliana na dunia ya nje, bali

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In