#TAFAKARI YA LEO; USIKUBALI MSONGO HUU…

By | June 3, 2021
Msongo wa mawazo unaosababishwa na matumizi ya mitandao ya kijamii ni wa kujitakia. Unajiweka mwenyewe kwenye mazingira ambayo watu wengi unaojihusisha nao huwajui halafu unakazana kujilinganisha nao wakati kila mmoja anaishi maisha ya maigizo huko mitandaoni. Unaweza kujionea mwenyewe kwa nini lazima upate msongo kwenye mitandao hiyo usipokuwa makini. Ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In