2372; Tunategemeana Sana…

By | June 29, 2021
2372; Tunategemeana Sana… Pata picha hii, Kumetokea janga kubwa kabisa duniani na watu wote wamekufa isipokuwa wewe mwenyewe tu ndiye umebaki hai. Kwa kifupi wewe ndiye unayeimiliki dunia, iko wazi kwamba utakuwa ndiye tajiri namba moja na pekee kwenye hii dunia, maana unamiliki kila kitu. Sasa hebu pata picha unawezaje

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In