Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia uzoefu.

By | July 21, 2021
Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia uzoefu. Kila mmoja wetu kuna uzoefu ambao anao. Kuna vitu ambavyo watu huja kwako kukuomba uwasaidie. Hilo ndiyo eneo ambalo una uzoefu nalo. Hapa kuna mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia uzoefu wowote ulionao. Kuwashauri wengine kuhusu eneo hilo na wakakulipa. Kuwa na blogu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In