UKURASA WA 256; Sifai…

By | September 13, 2015
Moja ya hatua muhimu sana unazotakiwa kupiga ili kuweza kufikia mafanikio makubwa ni kuacha kulalamika au kulaumu wengine. Haijalishi ni nani au nini kimefanya nini, haijalishi ndugu zako wamekufanyia nini, haijalishi serikali imefanya nini, utakapoanza tu kulaumu na kulalamika, umejiondoa kwenye njia ya mafanikio. Hivyo kila linalotokea unapaswa kulibeba na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz