2459; Siku Gani?

By | September 24, 2021
2459; Siku Gani? “Ipo siku yangu na mimi nitafanya makubwa.” Sawa, tunakubaliana na wewe, lakini tuna swali kidogo; “ni siku gani hiyo?” Kama huwezi kutujibu swali hilo, tafadhali usituhangaishe, kama umechagua kujidanganya mwenyewe ni sawa kwako, ila kuchagua kutudanganya na sisi siyo sawa. Siku moja haijawahi kutokea, siku ambayo haijatajwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In