2486; Machaguo mengi.

By | October 21, 2021
2486; Machaguo mengi. Tuna bahati kubwa ya kuishi kwenye zama ambazo tuna machaguo mengi kwenye kitu chochote tunachofanya. Hulazimiki kuchukua chochote kilichopo, bali una uhuru wa kuchagua kile unachotaka. Tulidhani katika zama hizi za machaguo mengi wengi wangekuwa na furaha na mafanikio kutokana na uhuru mkubwa uliopo wa kuchagua. Lakini

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In