2490; Kama inabidi utumie nguvu sana, kuna kitu

By | October 25, 2021
2490; Kama inabidi utumie nguvu sana, kuna kitu hakipo sawa. Kama inabidi utumie nguvu nyingi kuwaonyesha watu umefanikiwa, jua hujafanikiwa. Kama inabidi utumie nguvu kubwa kuwaonyesha watu kwamba wewe ni mwaminifu, basi siyo mwaminifu. Kama inabidi uwalazimishe watu kuuona ukweli, huo utakuwa siyo ukweli. Kama kila wakati unajiuliza iwapo una

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In