#SheriaYaLeo (16/366); Hakuna Wito Bora Zaidi Ya Mwingine.

By | November 16, 2021
#SheriaYaLeo (16/366); Hakuna Wito Bora Zaidi Ya Mwingine. Tambua kwamba mchango wako kwenye jamii unaweza kuja kwa namna tofauti tofauti. Siyo lazima uwe mjasiriamali mkubwa, kiongozi mkubwa au mvumbuzi ndiyo uweze kuleta mchango mkubwa kwenye jamii. Unaweza kufanya makubwa ukiwa peke yako au ukiwa ndani ya taasisi kubwa. Muhimu ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In