#SheriaYaLeo (61/366); Endelea kutanua akili yako.

By | December 31, 2021
#SheriaYaLeo (61/366); Endelea kutanua akili yako. Kadiri unavyobobea ndivyo unavyoshawishika kwamba umeshajua kila kitu na hakuna kipya cha kujifunza. Lakini ubobezi huwa hauendi hivyo, ubobezi hauna kilele. Ubobezi ni zoezi endelevu. Siku utakayoona umeshafika kwenye kilele ndiyo siku ambayo utaanza kuanguka. Hivyo kwenye safari yako ya ubobezi, bila ya kujali

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In