2638; Ni kujenga, siyo kuota.

By | March 22, 2022
2638; Ni kujenga, siyo kuota. Mafanikio huwa yanaanza na ndoto, mtu kuwa na picha ya kile unachotaka, ambacho kwa sasa huna. Lakini ili kufikia ndoto hiyo, ni lazima ujenge. Ndoto haitafikiwa tu kwa kuota, Bali itafikiwa kwa kujenga. Hatua unazochukua katika kuifikia ndoto ndizo zinaifanya ndoto hiyo kuwa uhalisia. Thamani

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz