2668; Haya mambo huwezi kuyalazimisha.

By | April 21, 2022
2668; Haya mambo huwezi kuyalazimisha. Kuna vitu vingi unajifunza kuhusu mafanikio, lakini kina unapojaribu kuviishi unashindwa. Labda umejifunza umuhimu wa kutumia muda wako vizuri na kutokuupoteza kwenye mambo yasiyo na tija. Unajaribu kuzingatia hilo ila bado unajikuta tu unapoteza muda kwa mambo yasiyo na tija. Labda umejifunza kwamba kuongea sana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz